Mtayarishaji wa video za muziki nchini Hanscana ammmwagia sifa msanii Diamon kwa kuipigani tasnia ya muziki wa Bongo.Wakati akimtakia ...
Ikiwa leo Oktoba 2, mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Naseeb Abdul 'Diamond' anasheherekea siku yake ya kuzaliwa akitimiza miaka 35, n...
Nguli wa Hip Hop, Sean ‘Diddy’ Combs anapambana kujinasua kutoka kwenye mikono ya sheria baada ya kukusanya wanasheria mas...
Mwigizaji wa Marekani John Amos ambaye alipata umaarufu kupitia filamu ya ‘Coming to America’ na ‘Good Time’ a...
Mtoto wa mwanamuziki R. Kelly, Joanne Kelly amepanga kuachia filamu fupi (Documentary) itayoeleza matendo ya unyanyasaji yaliyokuwa ya...
Mkali wa Hip-Hop wa Marekani Sean “Diddy” Combs ameripotiwa kuhusishwa katika kesi mpya 120 za unyanyasaji wa kingono zina...
Mwanamitindo kutoka Korea Choi Soon-hwa mwenye miaka 80 ameripotiwa kushiriki katika mashindano ya Miss Universe 2024, huku akitajwa k...
Baraza la Sanaa la Taifa 'BASATA' limelaani vikali tukio lililotokea Septemba 28, mkoani Mbeya la mwanamuziki Zuhura Othman Soud 'Zuch...
Mwigizaji mkongwe na mfanyabiashara Wema Sepetu ni kama amejifunza kutokana na yaliyotokea mwaka 2023 katika kumbukizi ya siku ya kuza...
Kwa wapenzi wa burudani katika upande wa muziki, leo ni siku yao maalumu kwani dunia inaadhimisha siku ya Muziki ya Kimataifa.Uwepo wa...
Mwanamuziki anayetamba na wimbo ‘Komasava’ Diamondplatnumz anachuana na mastaa kutoka Nigeria katika tuzo za African Enter...
Kipa wa Simba, Moussa Camara amezungumzia ubora wa ukuta wa timu hiyo unaongozwa na Fondoh Che Malone na Abdulrazack Mohamed Hamza kam...
Ikiwa zimetimia siku 14 tangu mkali wa Hip Hop Sean Combs 'Diddy' kuishi katika kuta za gereza hatari zaidi Marekani la Metropolitan, ...
MWANAHAWA ALLY ASTAAFU KUIMBA TAARABU RASMIMkongwe wa muziki wa Taarabu Mwanahawa Ally amestaafu kuimba muziki huo baada ya kuimba kwa...
Mwigizaji wa Uingereza Dame Maggie Smith ambaye alijulikana zaidi kupitia mfululizo wa filamu ya ‘Harry Potter’ amefariki ...
Msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki, maarufu kama Nay Wa Mitego, ameshitakiwa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kwa makosa ma...
Mwanamitindo kutoka Uingereza, Naomi Campbell amepigwa marufuku kuwa mdhamini mkuu wa Shirika la misaada la ‘Fashion For Releaf&...
Mama wa kambo wa mwanamuziki kutoka Marekani Madonna ambaye alimlea kwa muda mrefu aitwaye Joan Ciccone amefariki dunia.Kwa mujibu wa ...
Mhusika wa kubuni anayetambulika kama Batman rasmi ametunukiwa nyota ya heshima ya ‘Hollywood Walk of Fame’ mchana wa jana...
Mwigizaji mkongwe wa Bollywood Amitabh Bachchan amesema alitaka kuzimia baada ya kukuana kwa mara ya kwanza na marehemu Michael Jackso...