Na Peter AkaroKwa miaka mingi tumekuwa tukisikiliza muziki wao na kutazama mitindo yao ya maisha lakini kuna mengi yametokea nyuma ya pazia hadi wasanii hao wa Bongo fleva kup...
Jide ni mwanamuziki bora wa kike chini ya Jangwa la Sahara. Na hii ni kwa miongo miwili iliyopita. Ubora wake ni kwa kila kitu. Albamu nyingi kuliko yeyote wa kike. Ana &lsquo...
Mwanamuziki Bongo Fleva nchini Maua Sama alia na watu ambao wameushusha wimbo wake wa ‘Kariakoo’ uliokuwa ukifanya vizuri katika mtandao wa Youtube.Maua muda mchac...
Mkongwe wa muziki wa HipHop hapa nchini Farid Kubanda maarufu kama Fid Q, anayetamba na ngoma kama Propaganda, Kibiriti, Ripoti za Mtaani, Sumu, Champion na nyingine nyingi , ...
Mwigizaji Grace Mapunda maarufu kama ‘Tesa’ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Novemba 2, 2024 akipatiwa matibabu katika chumba cha wagonjwa mahututi, kwenye Ho...
Baada ya kukutwa na hatia ya makosa matatu ya kuendesha gari bila leseni, akiwa amelewa na kukimbia eneo la tukio baada ya ajali iliyoharibu miundombinu, mshindi wa taji la Mi...
Ammar MasimbaRapa maarufu nchini Marekani kutokea jimbo la Georgia, Atalanta Jeffery Williams ambaye ni mmoja wa waanzilishi wa Lebo ya Muziki ya YSL ameruhusiwa kurudi nyumba...
Ubaya ubwela, yaani ni mwendo wa ku-force mambo tuu, wiki hii kupitia biashara tumeangazia, namna ambavyo biashara ya urojo inaweza kukuingizia kipato endapo utaifanya k...
Na Glorian Sulle
Katika dunia ya mambo ya kisasa, mikoba inachukua nafasi muhimu kama kipande cha kifaa au urembo unaongeza ufanisi na urembo.
Swala hili, naongea na wananume ...
Imekuwa ni desturi kwa baadhi ya watu kununua bidhaa fulani kutokana na kutangazwa sana. Matangazo hayo huwaweka katika ushawishi wa kutaka kununua bidhaa hiyo ili kuji...
Niwasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano Tanzania, basi wote tusema kazi iendelee, kama kawaida ili mkono uende kinywani lazima kazi na juhudi ifanyike, katika juhud...
Kila kitu kimebadilika. Hata Hayati Magufuli naye akiibuka hii leo atastaajabu vitu vingi. Ulitegemea Bunge hili kuwa nje ya mikono ya Job Ndugai? Ulitegemea Alikiba kuhamia S...
Ukiwa mtu wa mitandao lazima utakuwa umekutana na picha au video za kutisha zikiwahusisha baadhi ya watu wakiwemo mastaa mbalimbali wakiwa kwenye mionekano ya ajabu. Kawaida p...