5 social media apps to join TODAY

5 social media apps to join TODAY

“This is a world of social media, networking and interaction na kama haupo katika mtandao wowote ule online, you are totally missing a whole lot!”

 Mara ya kwanza kuingia katika social media ilikuwa ni kati ya 2010 na 2011, ambapo nilijiunga na mtandao wa Facebook. Well you can’t really blame me, Facebook was a MAJOR thing in 2010. Marafiki zangu wooote walikuwa huko, it was fascinating, niliweza kuconnect na watu wengi zaidi, ninao wajua na nisiowajua, I was amazed by the power of technology, yaani bundle likiisha tu! Nilikuwa nadata balaa.

This story is available exclusively to SCOOP members.
Become a #Scooper and start reading now.






Comments 1


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post