Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limekanusha madai ya msanii wa vichekesho Ebitoke kutekwa na watu aliowataja kwenye ukurasa wake wa Instagram, kama ilivyoelezwa. Akizungumza Ka...
Msanii wa singeli, Dulla Makabila wiki hii 'ametrend' baada ya kutupia picha yenye mwonekano mpya ikimuonesha kung'aa zaidi sura na kuwa mweupe.Kutokana na mwon...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Diamond Platnumz ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa ‘Down’, ameweka wazi sababu kubwa inayomfanya awekeze nguvu katika sh...
Kesi ya mwigizaji wa Bollywood, Salman Khan inazidi kupamba moto ambapo inatarajiwa kurudishwa tena Mahakama kuu ya Rajasthan, Septemba 22,2025 kwa ajili ya kusikiliza rufaa d...
Kila ifikapo mwisho wa mwezi wafanyakazi kutoka mashirika mbalimbali akili yao huwa ni moja tuu kupokea mshahara ili aende kumwagilia moyo, lakini wengi wao hawaju maana ya ne...
DJ na mwanahabari mkongwe nchini, DJ Nicotrack ameelezea sababu inayosababisha nyimbo za zamani kudumu katika ubora na masikioni mwa mashabiki kuliko za sasa.Nicotrack amesema...
Soksi moja ya mfalme wa muziki wa Pop duniani, Michael Jackson ambayo aliivaa wakati wa tamasha nchini Ufaransa miaka ya 1990 imeuzwa kwa zaidi ya dola 8,000 sawa na Sh21 mili...
Mwanamuziki na mfanyabiashara maarufu Sean “Diddy” Combs ameamua kupindua meza, hii ni baada ya kutaka afutiwe makosa mawili yaliyobaki kwa kudai kuwa hakuvunja sh...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Zuchu ametoa onyo kwa mtu mmoja ambaye anadaiwa kuwa mwanamke kwa kumtafuta mumewe msanii Diamond Platnumz usiku.Kupitia ukurasa wake wa Inst...
Kwa sasa kusheherekea siku ya kuzaliwa ni jambo la kawaida duniani kote, lakini hapo zamani sherehe hiyo ilikuwa ikifanywa kwa ajili ya familia za Kifalme. Kwa mujibu wa histo...
Ikiwa siku kadhaa zimepita tangu mwanamuziki wa Nigeria Ayra Starr, kudaiwa kusainiwa chini ya lebo ya Jay Z Roc Nation. Hatimaye kitengo cha michezo kwenye kampuni hiyo Roc N...
Mkali wa hip-hop na mfanyabiashara kutoka Marekani, Sean “Diddy” Combs (55), ameiomba mahakama imwachie kwa dhamana ya dola milioni 50 pamoja na bondi ya nyumba ya...
Mkali wa Afrobeats kutoka Nigeria, Innocent Ujah Idibia maarufu kama 2Baba, ameripotiwa kufunga ndoa ya kimila na mpenzi wake mpya aitwaye Natasha Osawaru, sherehe ambayo ilif...
Ni takribani miezi kadhaa tangu mtengenezaji maudhui mtandaoni na mfanyabiashara Dotto Magari kumtambulisha msanii wake, Dogo Rema ambaye amekuwa gumzo katika mitandao ya kija...