18
Nicole Aliipania Mitandao Ya Kijamii
Unaweza kusema mwigizaji Joice Mbaga ‘Nicole Berry’ alikuwa na kiu ya kutumia mitandao ya kijamii. Hii ni baada ya kutupia zaidi ya machapisho 10 kwenye ukurasa wa...
18
Young Killer, Nandy Watumia Mkono Mmoja Kuandika
Alianza kufanya vizuri kwenye muziki akiwa bado ni kijana mdogo, uwezo wake wa kuandika mistari kwenzi na kuichana vilivyo ulimpatia umaarufu kwa wasanii wengine hasa wa Hip H...
18
Universal Music Wamkataa Drake Kuhusu Not Like Us
Universal Music Group imewasilisha ombi la kufutwa kwa kesi ya Drake dhidi yao ikihusisha wimbo wa 'Not Like Us' wakidai rapa huyo alishiriki majibizano ya nyimbo kwa hiari ya...
17
Nicole, mwenzake wadhaminiwa kwa hati za nyumba za Sh157 milioni
Hatimaye msanii maarufu wa uigizaji, Joyce Mbaga (32) maarufu ‘Nicole Berry’ na mwenzake Rehema Mahanyu (31), wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi, wameachiwa k...
17
Sokwe wa Michael Jackson atimiza miaka 42
Sokwe wa aliyekuwa mfalme wa pop Michael Jackson ametimiza miaka 42 tangu kuzaliwa kwake.Sokwe huyo aitwaye Bubble ambaye kwa sasa anaishi katika hifadhi maarufu huko Florida ...
17
Kim na kanye kwenye vita mpya kisa P Diddy
Rapa na mtayarishaji tokea Marekani, Kanye West anaripotiwa kuingia kwenye vita mpya na aliyekuwa mke wake mwanamitindo, Kim Kardashian kufutia rapa huyo kumshirikisha binti y...
17
Asake ameanza kutimiza majukumu kwa baba yake
Baada ya kuibuka kwa video zikimuonesha baba wa staa wa muziki kutokea Nigeria Asake, akidai hapati huduma kutoka kwa mwanaye. Hatimaye baba huyo amesema tayari ameanza kupati...
17
Snura adai anaweza asifike Peponi
Licha ya kwamba kwa sasa ameishika dini vilivyo, aliyekuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya hususani singeli na filamu, Snura Mushi amewaomba watu wamuombee ili aweze kufika p...
16
A$ap alivyo pafomu kwenye ndege
Rapa na mkali wa mitindo tokea Marekani, A$ap Rocky ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kutumbuiza akiwa kwenye ndani ya 'Helicopter' kwenye tamasha la muziki la Rollin...
16
Remix zinavyo nogesha nyimbo
Wasanii wa muziki wamekuwa na utaratibu wa kuzirudia nyimbo zao ambazo tayari zimetolewa na kuzifanya kwa mtindo mwingine'Remix'.Kawaida remix hizo huhusisha zaidi kubadilisha...
16
Mr Ebbo kwenye safari ya Danny Msimamo
Hadi katikati ya miaka ya 2000, Danny Msimamo alikuwa miongoni mwa marapa wakali katika Bongofleva akitambulika na wengi kama msanii mwenye uwezo wa kufikiri nje ya box na nyi...
16
Kina Nicole kujiita matajiri sio kuvimba, wapo kazini
Mwigizaji Joyce Mbaga a.k.a Nicole Berry, alipandishwa kizimbani juzi kati na kusomewa mashtaka ya uhujumu uchumi.Picha lilianza kwa kikundi cha watu kujitokeza wakidai kuwa w...
15
Mfahamu Mwanaume Aliyenyoosha Mkono Zaidi Ya Miaka 50
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni, kutana na mwanaume kutoka India aitwaye Mahant Amar Bharati Ji ambaye amenyanyua mkono wake wa kulia juu kwa zaidi ya miongo minne (k...
15
Kama Vipi Tuzo Zitolewe Kila Mwezi
Juzi kati nilikuwa mitaa ya kati. Nipo 'bize', natembea, nimevimbiana kama Aziz Ki mbele ya bibie Hamisa. Sina habari na mtu, sina hofu na maisha, sina pesa na mapenzi. Kifupi...

Latest Post