Katika usiku wa ugawaji wa Tuzo za Grammy mwaka 1984 marehemu mkali wa Pop Marekani, Michael Jackson aliwashangaza wengi baada ya kuvua miwani yake mbele ya umati wa watu.Kama...
Na Michael Anderson
Punguza marafiki ambao ukiwaambia unataka kufanya kitu wanakujibu "utawezaaa?" punguza marafiki ambao kutwa wanataka mchafue meza bar.
Punguza marafi...
Na Asma HamisKuishi kwingi ndiyo kuona mengi msemo huu wa wahenga unajionesha katika kijiji cha Noiva do Cordeiro kilichopo nchini Brazil chenye watu 600.Kijiji hicho kinaripo...
Na Asma Hamis Wakati baadhi ya watu wakienda kwenye vituo vya huduma za afya kupatiwa matibabu ya macho pale yanapopata matatizo, hiyo ni tofauti katika kijiji cha Crnjev...
Tunajua unajua lakini tunakujuza zaidi, wakati Bongo baadhi ya vijana wakijitahidi kuficha hatua za ukuaji (balehe), lakini kwa tamaduni za Kusini mwa Angola hakuna siri kweny...
Wakati baadhi ya wazazi wa Bongo wakiwatafutia watoto wao wenza katika familia zenye uwezo ama ambazo wanajuana nazo kwa muda mrefu, lakini jijini Shanghai nchini China ni tof...
Mwanamke mmoja kutoka Canada mwenye umri wa miaka 60 aitwaye DonnaJean Wilde, ameweka rekodi ya dunia kwa kupiga push-up nyingi zaidi ndani ya saa moja.Kwa mujibu wa kitabu ch...
Na Asma HamisBongo ukimtemea mate mtu kama sio ugomvi wa kurushiana maneno basi ngumi zitalika. Lakini nchini Ugiriki jambo hilo ni kawaida huku wakiliita baraka.Ugiriki wanaa...
Kawaida imezoeleka masaji hufanywa taratibu kwa lengo la kuondoa uchovu,lakini hilo ni tofauti kwa masaji ya kichwa ambayo inafanyika kwa muhusika kupigwa makofi kichwani.Mako...
Kibongo Bongo kuomba chumvi au kiungo chochote wakati wa chakula kwa lengo la kuongeza radha jambo hilo huchukuliwa la kawaida na halina shida yoyote, lakini unapoingia nchini...
Asma HamisKila ifikapo Alhamisi ya kwanza ya mwezi Novemba dunia inaadhimisha siku ya Wanaume kupika au kuandaa chakula cha jioni.Kwa mujibu wa tovuti ya ‘National Day C...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na mtaalamu wa masuala ya ndoa na familia nchini Marekani, Gary Brown ameeleza kuwa kupumua mbele ya mpenzi wako (kujamba) kunaweza kuwa isha...