Mama mzazi wa mfanyabiashara na mwanamitindo Hamisa Mobetto, Shufaa ameonesha furaha kufuatia na ndoa ya mwanaye huku akiweka wazi tuu anamshukuru Mungu kwa kumletea mkwe sahi...
Baada ya kuzuka kwa tetesi nyingi kuhusiana na harusi ya nyota wa Yanga na Mwanamitindo Hamisa Mobetto, hatimaye ndoa ya wawili hao tayari imeshapita.Ndoa hiyo imefungwa na Sh...
Baada ya tukio la kutoa mahari lililofanyika mapema Jana Jumamosi Februari 15,2025, hatimaye ndoa ya wawili hao inatarajiwa kifungwa leo kwenye moja ya msikiti uliyopo Mbweni....
Zanzibar. Mwanamuziki mwenye asili ya Congo, Christian Bella, leo Februari 16,2025, amesema viongozi wa Afrika wanatakiwa kushikamana ili kulinda amani.Bella ameyasema hayo wa...
Tazama mwanamuziki wa Singeli, Baba Kash akiwarusha mashabiki katika viwanja vya Ngome Kongwe, Stone Town kisiwani Unguja.Je kwa vibe hili la mashabiki kutoka mataifa mbalimba...
Mwenyekiti wa Bodi ya Sauti za Busara, Simai Mohammed Said, leo Februari 15, 2025 amefungua siku ya pili ya tamasha hilo katika viwanja vya Mji Mkongwe, Stone Town kisiwani Un...
S.Mwanamuziki wa Kenya Blinky Bill amesema ladha ya muziki wa Tanzania imepotea. Amegusia 'Nikusaidiaje' ya Professor Jay ft Ferooz na 'Inaniuma sana' (Juma nature) Msanii wa ...
By RHOBI CHACHAHATIMAYE taarifa ikufikie kwamba, mwanamitindo Hamisa Mobetto leo Jumamosi, Februari 15, 2025, amelipiwa mahari ya ng'ombe 30 na Stephanie Azizi Ki ambaye ni ki...
MAMA mzazi wa Hamisa Mobetto aitwae Shufaa Lutenga maarufu 'Mama Mobetto 'amefichua siri akieleza siku ya kwanza mkwewe, Stephane Aziz Ki kukutana na Hamisa Mobetto alimtamkia...
Judith Actress, ndilo jina la Mwanadada anayekuja kwa kasi na kuwabamba mashabiki wa filamu nchini. Sio tu kwa uwezo wake wa kuifanya sanaa pia kwa muonekano wake.Quruthum Ath...
Mwanamuziki Frida Amani 'Madam President' wakati akifanya mahojiano na Mwananchi, leo Februari 15, 2025 amesema kinachofanya aandike historia kila mara kwenye muziki ni tabia ...
Dakika chache baada ya kiungo wa Yanga, Stephanie Aziz KI kutupia kambani chuma tatu, furaha yake imemfanya kufichua juu ya ndoa yake na mwanamitindo Hamisa Mobeto.Azizi Ki am...
Hatimaye pazia la tamasha la muziki Sauti za Busara 2025, limefunguliwa leo Februari 14,2025, Ngome Kongwe, Stone Town kisiwani Unguja na Journey Ramadhan ambaye ni Mtendaji M...
Msimu wa Valentine mara nyingi husindikizwa na nyimbo za mapenzi na zilizojaa mahaba duniani kote. Lakini kwa mwaka 2025 imekuwa tofauti Barani Afrika kwani panatajwa kusikili...