Mwigizaji Irene Uwoya amesema licha ya kuingia kwenye maisha ya wokovu hawezi kufuta tatoo zilizopo mwilini mwake hadi Roho Mtakatifu ...
Mastaa mbalimbali nchini waliofika kwenye tamasha la Faraja ya Tasnia linalolenga kuwaenzi wasanii waliofariki dunia, wameonesha kuvut...
Mwanamuziki wa Dansi nchini Charles Gabriel Mbwana 'Chaz Baba' amefunguka kuwa jina analotumia sasa ambalo watu wanalitambua alipewa n...
Mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amesema tangu mwanaye afariki dunia hajawahi kuangalia filamu yake hata moja kwasababu z...
Mixtape ya marehemu mkali wa Hip Hop kutoka Marekani Rich Homie Quan iitwayo ‘I Promise I Will Never Stop Going In’ imerip...
Mwanamuziki na mfanyabiashara Selena Gomez ametajwa kuingia katika orodha ya mabilionea ambapo utajiri wao unatokana na juhudi za kibi...
Mwanamuziki wa Marekani 50 Cent amefunguka kuhusiana na suala lake la useja (kuwa single) huku akiweka wazi kuwa amefanya makosa mengi...
Mwanamuziki wa Bongofleva, Gift Stanford ‘Gig Money’, ambaye hivi karibuni alikutana na majanga ya kudukulia akaunti yake ...
Staa wa soka dunia Cristiano Ronaldo ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufikisha mabao 900. Ronaldo amefikisha idadi hiyo ya m...
Mawaziri watano sambamba na Mshauri wa Rais, Angellah Kairuki na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa w...
Mchezaji wa zamani wa Newcastle United na timu ya taifa ya England, Alan Shearer amesema kocha wa Manchester United, Erik ten Hag ana ...
Rapa Rich Homie Quan (34) amefariki dunia leo Alhamisi Septemba 5, 2024 na taarifa za kifo cha msanii huyo zilianza kusambaa mtandaoni...
Rapa wa Marekani Megan Thee Stallion amefunguka kuwa hayupo tayari kupatanishwa na msanii mwenzake Nicki Minaj, kwani hajui chanzo cha...
Mwigizaji wa Marekani Jamie Foxx amedai kuwa yupo tayari kuzungumzia changamoto na mapito aliyoyapitia wakati alipokuwa mahututi.Foxx ...
Ikiwa leo ni Septemba 5 2024, Alhamisi ya 36 tangu kuanza kwa mwaka huku zikiwa zimebaki siku 117 kuumaliza mwaka.Upande wa TBT tunamu...
Mwanamuziki Ommy Dimpoz amewataka mashabiki na wadau mbalimbali kutomuita chawa endapo Diamond atapokuwa tajiri namba moja duniani.Kut...
Mwanariadha kutoka Uganda wa mbio za Marathon, Rebecca Cheptegei amefariki dunia leo hii Septemba 5, 2024 wakati akipatiwa matibabu ya...
Ikiwa jana Septemba 3, 2024 dirisha la kuwapigia kura wasanii watakaowania Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) lilifunguliwa, hivi ndivyo vi...
Baada kuchafua mitandao ya kijamii kwa siku kadhaa mwanamuziki Juma Jux na mpenzi wake mpya Priscilla Ajoke raia wa Nigeria wameamua k...
Msanii wa Hip-hop nchini Abdulrazak Selemani ‘Toxic’ wakati akifanya mahojianoa na Mwananchi Scoop, ameweka wazi hisia zak...