Mtangazaji na mfanyabiashara Marekani Paris Hilton amerudi kwenye nyumba yake iliyoharibika vibaya na moto ulioteketeza makazi ya watu katika Milima ya Hollywood, California.H...
Mwanamitindo Flaviana Matata ambaye pia aliwahi kuiwakilisha Tanzania katika Mashindano ya Miss Universe 2007 ambapo alifika Kumi Bora. Ameonesha kusikitishwa na matukio ya ku...
Baada ya miaka minne ya mafanikio ya kiuongozi akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Bakari Machumu ametangaza kustaafu ifikapo Agost...
Mwili wa marehemu mwigizaji kutoka nchini Nigeria Pope Odonwodo umewasili katika kijiji alichozaliwa cha Ukehe Igbo-titi Local Government Area Jimbo la Enugu, kwa ajili ya tar...
Imeripotiwa kuwa takibani watu 14 wamefariki dunia siku ya jana Jumatatu Mei 13, 2024 baada ya kuangukiwa na bango la matangazo kufuatiwa na mvua iliyonyesha jijini Mumbai nch...
Mwigizaji maarufu kutoka nchini Marekani Bernard Hill, ambaye alitambulika zaidi kupitia filamu ya Titanic amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79.
Taarifa ya kifo chake ili...
Idadi ya mamilionea kutoka katika jiji la New York nchini Marekani imeongezeka katika miaka ya hivi karibuni huku ikikadiriwa kuwa mmoja kati ya wakazi 24 anatajwa kuwa ni mil...
Mwanaume mmoja kutoka nchini Marekani aliyefahamika kwa jina la Ronnie Wiggs ameshitakiwa kwa kosa la kumuua mkewe akiwa Hospitali baada ya kushindwa kulipa ‘bili’...
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limewataka watu wenye taarifa tofauti juu ya ajali ya bodaboda iliyotokea alfajiri ya jana Ijumaa Aprili 26, 2024, eneo la Makonde, mkoani Dar ...
Mwili wa aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha redio cha Clouds FM, Gardner Habash utaagwa kesho jijini Dar es Salaam na kuzikwa Jumanne Aprili 23, 2024 mkoani Kilimanjaro.Kwa muj...
Wanandoa kutoka nchini Ufaransa ambao hawajawekwa wazi majina yao wamehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela na faini ya tsh 425 milioni baada ya kuwafanyia ukatili wanyama kwa...
Mwanaume wa kwanza kupandikizwa figo ya nguruwe nchini Marekani aitwaye Richard Slayman (62) ameruhusiwa kutoka hospitali, baada ya kufanyiwa upasuaji wiki mbili zilizopita ka...
Zaidi ya watu 1000 nchini Ujerumani siku ya Jana wamekusanyika katika maeneo mbalimbali kusherehekea kuhalalishwa kwa matumizi ya bangi nchini humo.
Licha ya ruhusa hiyo watum...