Albamu noma kwa Tyla

Albamu noma kwa Tyla

Mwanamuziki kutoka nchini Africa Kusini Tyla ambaye anaendelea kuupiga mwingi kupitia wimbo wake wa ‘water’ ametaja wasanii na album zinazo muhamasisha zaidi ikiwemo ya mkali Wizkid ‘Made in Lagos’, ‘Momo’s private school’ kutoka kwa Kelvin Momo, ya mwisho ikiwa album yake ya ‘Tyla’.

#Tyla ameendelea kuwabwaga mastaa kutoka nchi mbalimbali katika Billboard Hot ambapo siku tano zilizopita wimbo wake wa ‘water’ ulingiia katika Billboard top 10 ukishika namba saba.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags