Aliepigwa na Jay Melod afunguka

Aliepigwa na Jay Melod afunguka

Baada ya siku ya jana kusambaa kwa taarifa kuwa msanii kutoka Tanzania Jay Melody amekamatwa na Polisi nchini Kenya kwa kosa la kumshambulia promota Golden Boy.

Promota huyo amesimulia mkasa ulivyokuwa mpaka wakamshambulia amesema “Jay hakuwa hana shida lakini watu wake aliongozana nao ulinishambulia kwasababu anatembea na team ya kipuuzi kweli”alisema Golden.

Aliendelea kusema amemsamehe jay kwasababau nayeye ni mfanyabiashara hawezi kumkandamiza Jay.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags