Arsenal, Chelsea kuisaka saini ya Toney

Arsenal, Chelsea kuisaka saini ya Toney

‘Klabu’ ya #Arsenal na #Chelsea zimeripotiwa kuisaka saini ya mshambuliaji wa ‘klabu’ ya #Brentford na ‘timu’ ya Taifa ya #Uingereza, #IvanToney.

‘Klabu’ zote mbili zimekuwa mbioni kumtaka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 baada ya mkataba wake kuisha msimu ujao huku ‘klabu’ yake ikitangaza dau la pauni milioni 60 mpaka 40 kwa ‘timu’ itakayo mchukua mchezaji huyo.

Mshambuliaji huyo ambaye amefunga mabao 20 katika ‘ligi’ kuu ya Ungereza msimu uliyopita alidai kuondoka tangu Januari mwaka huu, lakini hakuna kilichotokea baada ya kukosa makubaliano na ‘klabu’ yake hiyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags