Aston Villa yamfuta kazi Steven Gerrard

Aston Villa yamfuta kazi Steven Gerrard

Ebwana eeeh uamuzi huo umechukuliwa baada ya kupata kipigo cha magoli 3-0 dhidi ya Fulham katika mchezo wa Premier League

Villa imeshinda mechi 2 za EPL kati ya 11 msimu huu, pia ni kati ya timu nne za mwisho kwenye msimamo wa ligi hiyo

Gerrard alipewa mikoba ya Dean Smith, Novemba 2021 ameshinda mechi 13 kati ya 40 alizoongoza akiwa kocha. Wanaotajwa kupewa nafasi yake ni Mauricio Pochettino au Thomas Tuchel

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags