Asusia interview baada mtangazaji kutojua njimbo zake

Asusia interview baada mtangazaji kutojua njimbo zake

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Blueface ameamua kuondoka kwenye interview na #FunyyMarco baada ya mtangazaji kushindwa kutaja nyimbo zake tatu.

Blueface aliondoka sekunde ya 30 tangu kipindi kuanza, baada ya kumwambia mtangazaji amtajie ngoma zake tatu na kisha mtangazaji huyo kushindwa kuzitaja kwa kutozifahamu.

Rapa Blueface anatamba na ngoma zake kama ‘Hello’, ‘Been have'n’, ‘Thotiana Remix’ aliyomshirikisha Cardi B na nyinginezo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags