Atishia kufyatua risasi baada ya kuuziwa chipsi zilizoungua

Atishia kufyatua risasi baada ya kuuziwa chipsi zilizoungua

Mwanamke mmoja kutoka nchini Marekani aitwaye Breneida Gottschalk ameshitakiwa kwa kosa la kutishia kufyatua risasi baada ya kuuziwa chips zilizoungua.

Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 59 ameshitakiwa baada ya kudaiwa kutishia kuwapiga risasi wafanyakazi wa mgahawa wa McDonald's kwa kumpa chips zikiwa zimeungua alipokuwa ameenda kununua chakula hiyo kwenye mgahawa huo.

This story is available exclusively to SCOOP members.
Become a #Scooper and start reading now.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags