Baba Levo achekelea Waziri Nape kuukubali wimbo wake

Baba Levo achekelea Waziri Nape kuukubali wimbo wake

Msanii wa #BongoFleva nchini #BabaLevo amedai kuwa Waziri wa Habari Sanaa na Michezo mh.Nape Nnauye amempa hongera kwa wimbo wake mpya aliyofanya na DiamomdPlatnumz ‘Amen’, wimbo ambao umetoka hivi karibuni.

Akiwa katika mahojiano na moja ya chombo cha habari Baba Levo amefungua hisia zake baada ya kupewa maua yake kutoka kwa Waziri Nape, na kudai kuwa amepata furahi kuona wimbo wake unavyokubalika huku ukiwa na siku chache tangu kuingia mjini.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags