Baada ya kutekwa kwa wiki kadhaa hatimaye, baba mzazi wa mchezaji kutoka ‘Klabu’ ya #Liverpool, #LuisDiaz amepatikana ambapo shirikisho la ‘soka’ nchini #Colombia limethibitisha hilo.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo vinaeleza kuwa Mzee #ManuelDiaz alikabidhiwa kwa Tume ya Umoja wa Mataifa ya kibinadamu karibu na mpakani mwa #Colombia na #Venezuela.
Mama na baba #Diaz walitekwa pamoja lakini mama wa mchezaji huyo alipatikana masaa machache baada ya polisi kuweka vizuizi barabarani.

Leave a Reply