Beki wa Man City akiri kumsaliti mkewe

Beki wa Man City akiri kumsaliti mkewe

Beki wa pembeni wa ‘klabu’ ya #ManchesterCity #KyleWalker amekiri kumsaliti mkewe #AnnieKilner kwa kuzaa mtoto wa kike kwa siri nje ya ndoa.

Kyle mwenye umri wa miaka 33 akiwa katika mahojiano na The Sun News siku ya Jumapili amekiri hayo baada ya kuchagua kuishi na rafiki wa mkewe ambaye amezaa naye mtoto.

Walker na Kilner walifunga ndoa miaka miwili iliyopita na wamebahatika kupata mtoto wa kiume.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags