Kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni kikongwe huyo ameweka wazi kuwa uzuri wa mwanamke hauishi siku zote, hivyo basi amewataka wanawake kujipenda kwa sababu uzee siyo kosa.

Kutokana na uhamasishaji wake bibi Licia amejipatia wafuasi zaidi ya 200K kupitia ukurasa wake wa Instagram na amekuwa akipata maokoto kupitia matangazo mbalimbali ya vipodozi vya ngozi.
Leave a Reply