Calisah: Siwezi kuwa na mwanamke aliyenizidi kipato

Calisah: Siwezi kuwa na mwanamke aliyenizidi kipato

Mwanamitindo kutoka nchini #Calisah amesema kuwa hawezi kuwa na mwanamke aliyemzidi kwa kila kitu hususani katika kipato.

Akiwa katika mahojiano na mmoja ya chombo cha habari nchini Calisah ameeleza kuwa mwanamke atakaye kuwa naye lazima awe chini kwa kila kitu kuanzia, maokoto, umri na mambo mengine.

Hata hivyo mwanamitindo huyo amedai kuwa yupo radhi kuishi na mwanamke mwenye mtoto kuliko aliyemzidi maokoto.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags