Cardi B aingiza Bilioni 2.3 kwa show moja

Cardi B aingiza Bilioni 2.3 kwa show moja

Moja ya story inayozungumzwa sana katika mitandao ya kijamii ni mkwanja ambao ameuingiza msanii wa muziki kutokea pande za Marekani huyu si mwingine ni Card B.

Unaambiwa mwanadada huyo ameingiza kiasi cha Sh. Bilioni 2.3 kwa show moja aliyoipiga huko Marekani.

“Cardi B anaingiza zaidi ya bilioni 2.3 kwa show moja na bilioni 4.6 kwa shoo za kimataifa hata hivyo ikiwa tayari wakala wake ameandaa shoo tatu kubwa ambapo moja ni ya Sh. Bilioni 4.6.

Tuambie maoni yako na wewe unadhani ni msanii gani kwa sasa hapa bongo ambaye analipwa fedha nyingi kutokana na show zake.

                                                                                                                                                                                                  

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags