Mchezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya Ureno na ‘klabu’ ya #AlNassr kutoka Saudi Arabia, Cristiano Ronaldo amefungiwa ‘mechi’ moja ikiwa kama adhabu baada ya kuonekana akishangiria kwa ishara mbaya.
‘Mechi’ hiyo ambayo #AlNassr walikipiga dhidi ya #AlShabab baada ya ushindi wa mabao 3-2 #Cr7 aligeuka upande wa wapinzani ambao walikuwa wakitaja jina la #Messi ndipo akawaonesha ishara chafu wakati wa kushangilia ushindi huo.
.
.
#mwananchiscoop
#burudikanasi

Leave a Reply