Diamond na Jux watishiwa, wapewa siku mbili

Diamond na Jux watishiwa, wapewa siku mbili

Baada ya mwanamuziki kutoka Congo #Sapologuanoodenumz kuishusha audio ya wimbo wa Enjoy kutoka kwa mkali Jux ambao kamshirikisha Diamond , sasa kijana huyo adai kuifuta na video ya wimbo huo.

@sapologuanoodenumz ambaye anadai Enjoy imechukua baadhi ya vionjo vilivyomo kwenye wimbo wake wa I found love, ameweka wazi kuwa ataifuta pia video ya wimbo huo, endapo Diamond na Jux wasipo yamaliza.

Wakali hao kutoka #Bongo wamepewa siku mbili kuyamaliza hayo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags