Diddy Apanga Kuongeza Safu Ya Wanasheria

Diddy Apanga Kuongeza Safu Ya Wanasheria

Rapa P Diddy anaripotiwa kuwa kwenye mpango wa kuimarisha safu yake ya mawakili ambao watampambania kwenye kesi zinazomkabili ambapo inatarajiwa kuanza kusikilizwa Mei 5,2025.

Hivyo basi Diddy amepanga kumuongeza wakili maarufu ambaye alimtetea rapa Young Thug kwenye mashataka yake ya YSL RICO, Georgia Brian Steel.

Kulingana na hati mpya za kisheria, zilizopatikana na TMZ, wakili wa Georgia Brian Steel anataka kukubaliwa ombi hilo ili kumpambania rapa huyo kisheria katika kesi zinazomkabili.

Hata hivyo timu ya mawikili ya Diddy imekuwa ikifanya jitahada hivi karibuni ili kumnasua Diddy kwenye sakata la kisheria linalomkabili tangu mwaka 2024.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Masoud Kofii


Latest Post

Latest Tags