Dogo Janja: Sina mawasiliano na Uwoya

Dogo Janja: Sina mawasiliano na Uwoya

Alooooweeeh! Alooootenaah! Sisi huwa tunakuletea vitu konki tuu hatunaga mba mba mba kama kawaida yetu, basi bwana, staa wa muziki nchini Tanzania Dogojanja, akiwa katika mahojiano na chombo kimoja cha habari aliulizwa swali kuhusiana na Ex wake Uwoya je bado anamtafuta au wametemana mazima, Janjaro alifunguka na kueleza kuwa.

“hapana hatuna mawasiliano mimi nayye, yeye ni mtu mzima na mimi ni mtu mzima kila mtu ana maisha yake, tukimove on kila mtu anakuwa na maisha yake, so kwasasa kila mtu ameshika njia yake” amesema Dogojanja

Uwiiiiiiiiih! Je ni yakweli hayo? embu ndondosha komenti yako hapo chini mtu wangu wa nguvu






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags