Drake adai muziki wa Hip-hop hautakuwa na amani

Drake adai muziki wa Hip-hop hautakuwa na amani

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #Drake amedai kuwa muziki wa Hip-hop hautakuwa na amani hata siku moja nchini humo.

Drake ameyaeleza hayo wakati alipokuwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya ‘It's All a Blur’ nchini humo ambapo alidai kuwa muziki huo hautakuwa na Amani kutokana na ushindani uliyopo kwa baadhi ya msataa ambao kila mmoja anataka kuonekana bora kuliko mwengine.

Tamko hilo linakuja baada ya baadhi ya mastaa nchini Marekani akiwemo J.Cole, Kendrck, Travs na Drake kuingia katika ‘mabifu’ kwa kuongeleana vibaya kupitia ngoma wanazozitoa na kuleta ushindani katika muziki huo wa Hip-hop.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags