Harmonize aweka wazi chanzo cha ukimya wa Ibraah

Harmonize aweka wazi chanzo cha ukimya wa Ibraah

Mwanamuziki na mmliki wa label ya #KondeGang, #Harmonize ametoa taarifa kuwa chanzo cha ukimya wa msanii wake #Ibraah unatokana na mapato ya msanii huyo kuwa yamezuiliwa pamoja na ‘ripoti’ zote kwa mezi 8 bila sababu yeyote.

Harmonize amesema Serikali inalifanyia kazi hilo na ikikamilisha kila mtu atajua kilichokuwa kikiendelea nyuma ya sakata hilo.

Harmonize ameweka wazi hayo wakati akijibu swali la shabiki aliyetaka kujua kuhusu ukimya wa Ibraah.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags