Harmonize: Kajala alidhani utani

Harmonize: Kajala alidhani utani

Mwanamuziki wa #BongoFleva #Harmonize anadai aliyekuwa mpenzi wake #Kajala hakuwa anaamini kama wameachana alidhani huenda watarudiana ndiyo maana alichelewa  kufuta tattoo iliyokuwa kwenye kidole chake yenye herufi ya jina la Harmonize.

Kupitia Instastory ya #Kondeboy ameandika,

"Usikute alijua natania juzi baada ya XXL ndiyo kaamini, why afute leo? ".






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags