Kesi ya Tory Lanez polisi atoa ushuhuda

Kesi ya Tory Lanez polisi atoa ushuhuda

Aisee moja kati ya taarifa zilizopo bwana ni hii hapa, Polisi ametoa ushuhuda mahakamani kwamba Tory lanez alikuwa akitamka Kauli Chafu "dance b***h, dance" kabla hajaachia risasi kwenye miguu ya Megan Thee Stallion katika mabishano yao July 2020.

Afisa Usalama Wa Los Angeles Ryan Stogner jana Mahakamani alisimama na kusema kwamba Tory alikuwa amejawa na hasira katika tukio hilo na Megan  alimwambia Afisa huyo kwamba Lanez alimuomba msamaha na akamuomba tena asiseme kokote juu ya tukio hilo huku Akimuahidi Pesa afanye siri.

Ebwana eeeh!!!nini maoni yako juu ya mkasa huu tuambie kupitia website yetu www.mwananchiscoop.co.tz.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags