Arnold amesema kuwa jamii ya sasa inaunda kizazi ambacho kinajali zaidi hisia za kuumizwa na kinapenda kulia badala ya kukabiliana na changamoto moja kwa moja.

Muigizaji huyo alionya na kutaka watu wazima kuwafundisha watoto wao uwezo wa kikakamavu wa akili badala ya kulea kizazi chenye watu dhaifu.
Leave a Reply