Lil Wayne afunguka Drake kuchukiwa na watu weusi

Lil Wayne afunguka Drake kuchukiwa na watu weusi

‘Rapa’ #LilWayne kufuatiwa na mahojiano yake aliyoyafanya na Podcast ya The Richard Sherman, ameweka wazi sababu zinazomfanya msanii mwenzake Drake kuchukiwa na watu weusi ni kutokana na rangi ya ngozi yake (light-skinned).

Hata hivyo ‘rapa’ huyo ameeleza kuwa hata yeye kipindi anasoma, alikuwa akiwachukia watu wenye rangi kama Drake (Light-Skinned).
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags