Mpenzi wa mwadada Hamisa Mobetto, @kevinsowax amekiri kufunga ndoa na mrembo huyo baada ya kuoneshwa mahaba mazito na Hamisa sasa amua kuweka wazi kuwepo kwa ndoa yao.
Katika ukurasa wake wa Instagram ame-share picha wakiwa pamoja na Hamisa na kuandika ujumbe uelezao kama watu wakisikia anafunga ndoa basi atamuoa Hamisa.
Leave a Reply