Manara: Yashaongelewa mengi sasa ni muda wa muhusika kuongea

Manara: Yashaongelewa mengi sasa ni muda wa muhusika kuongea

It’s another Monday mdau wa Mwananchi Scoop kama mnavyo jua hatupoi wala hatuboi basi bwana yule msemaji wa mabingwa Haji Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa leo atoangea kuhusiana na sakata lake la yeye kufungiwa.

Haji ameandiaka kuwa “Leo ntaongea na Wananchi na Wanahabari kuelezea Sakata la mimi kufungiwa na Mwenendo mzima wa shauri langu, Wapi na Muda gani tutawajulisha soon, Yashaongelewa mengi mazuri na mabaya,,sasa ni vema mhusika nikaongea akamalizia kwa kusema NITASEMA INSHA'ALLAH” ameandika Haji Manara

Uuuuuwiiiiih! Haya sasa wananchi mkae mkao wa kula na mnajua semaji likianza kufunguka Alooooo! Wacha tusubiri






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags