Maokoto yamliza muigizaji taraji

Maokoto yamliza muigizaji taraji

Muigizaji kutoka nchini #Marekani Taraji P. Henson aangua kilio katikati ya mahojiano baada ya kuulizwa kuhusiana na kufikiria kuacha kufanya kazi ya uigizaji na kudai kuwa huenda akaacha kutokana na kulipwa kiasi kidogo cha pesa katika filamu anazocheza.

Kupitia mahojiano hayo muigizaji huyo ameweka wazi kuwa licha ya kuwa muigizaji mkubwa amekuwa akilipwa kama waigizaji wa kawaida hata filamu yake ya ‘The Color Purple’ aliomba alipwe $

dola 500,000 na alilipwa dola 100,000 pekee.

Hata hivyo #Taraji amedai kuwa kwenye changamoto hizo za kuhusiana na malipo hayuko pekeyake kwa upande wa #Hollywood.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags