Marioo: Muda wao umekwisha

Marioo: Muda wao umekwisha

Ebwana eeh!! moja kati ya ujumbe ulioibua gumzo mtandaoni ni huu hapa uliotoka kwa msanii wa Muziki wa Bongo fleva Mario ambapo ameshusha waraka mzito unaowahusu wasanii wa bongo.

''Kuna Kipindi Kimefika, inabidi tukubali kuwa Sisi ndio wasanii wakubwa wa Muda huu na hivi vitu huwa vinaenda na muda hata kwa mataifa mengine yaliyoendelea, Ukiangalia Wenzetu Nigeria, Wasanii wakubwa walikuwepo
kina DBanj, 2Face, DonJazzy, wakina PSquare,kina Baadae kikaja kizazi cha Kina Davido, Wizkid au BurnaBoy, Marioo tz

''Sasa hivi unaona wamekuja madogo wamoto sana na wamepewa Ukubwa kwamba wao ndio wakubwa kwa sasa - wapo kina Rema, Joeboy,Fireboy,Omahlay au KizzDaniel Lazima tukubali kuwa kuna muda wasanii hawa wameshapita muda wake na sasa tupo kwenye kizazi fulani, Wasanii wa Tanzania Wakubwa Miaka yote ni Wale Wale" Marioo tz

Aiseee unamaoni gani juu ya alichokishare Marioo? Dondosha comment yako hapo chini.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags