Mashabiki wakimbilia ‘tiketi’ Tamasha la Asake

Mashabiki wakimbilia ‘tiketi’ Tamasha la Asake

Muimbaji kutoka nchini Nigeria Asake anaendelea kuupiga mwingi kwenye show anazofanya, hii imejidhihirisha baada ya kufanikiwa kuuza ‘tiketi’ zote  za show yake anayotarajia kuifanya Agosti 20,  kwenye ukumbi mkubwa wa O2Arena jijini London.

Ukumbi huo unauwezo wa kuingiza zaidi ya watu elfu 20. Unawashauri nini wasanii wa Bongo wafanye ili waweze kujaza nje ya nchi?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags