Kufuatia na video zinazosambaa mitandaoni zikimuonesha aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara na aliyekuwa mke wa Dulla Makabila, Zaylissa kuhusishwa kutoka kimapenzi, mastaa mbalimbali wamejitokeza na kumtaka #Makabila aongee chochote kuhusu tukio hilo.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Makabila ali-post picha siku ya jana akiwa hajaandika kitu chochote, ambapo mastaa mbalimbali kupitia upande wa ‘komenti’ wakimtaka msanii huyo kuongea kitu chochote
Kati ya ma-star hao ni #Wolper, #Rushaynah, #Platform, Sophi Juakali, Simpletheboy na wengineo wote wakimtaka Dulla Makabila aongee chochote kufuatia na video hizo zinazo-trend mitandaoni.

Leave a Reply