Mbosso: Maumbile tu Mungu kanijaalia

Mbosso: Maumbile tu Mungu kanijaalia

 

Oyeeeaaah! It’s Friday ya mwanzo wa mwezi I hope mko good watu wangu wa nguvu, leo bwana katika zilizotrendi mitandaoni  moja ya msanii wa bongo fleva Mbosso  kafunguka machache ambayo yanahusiana nayeye kuhusishwa katika kesi za kuwa na watoto wengi ambapo  sababu yake kubwa eti yeye ni tajiri wa mbegu ndo mana anawatoto wengi.

Aidha kupitia kipindi kinacho oneshwa na moja channel pendwa,  alieleza kuwa ‘’mimi ni tajiri wa mbegu na allhamdullillah maumbile Mungu tu kanijaalia ndo mana wadada wengi wanagongana kwangu’’ Amesema Mboss

Hahahah! make hapa kwanza ncheke, Haya mwanangu wa mwananchiscoop wewe mbegu unazo au sio shida zako, bwana embu dondosha koment yako hapo chini nawewe utambe na mbegu zako bwana.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags