Beki wa ‘Klabu’ ya Wydad Casablanca kutoka nchini #Morocco #OussamaFalouh (24) amefariki dunia hospitalini alipokuwa akipatiwa matibabu.
#Oussama alifikwa na umauti alipokuwa hospitali akipatiwa matibabu katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) ambapo mchezaji huyo alipata ajali ya gari Oktoba 11 na kupelekea kupata #Coma.
Oussama Falouh alijiunga na Wydad Casablanca ya #Morocco mwezi Julai mwaka huu akitokea ‘Klabu’ ya #Angers ya ‘Ligi’ Kuu nchini #Ufaransa

Leave a Reply