Meet GANSLAY, Mwanachuo UDSM mwenye kipaji hatari cha comedy

Meet GANSLAY, Mwanachuo UDSM mwenye kipaji hatari cha comedy

People say ‘there is nothing sweet without sweating for it.’ Kwa wale wapambanaji wenzangu itakua wananipata vyema sana kwa kauli hii, lakini pia waswahili wanasemaaa ‘hakuna mkate mgumu mbele ya chai.’

Sijui unanipata hapo walau kwa mbaali hivi, haimaanishi hivyo ambayo unafikiri mtu wangu ila ukiupindua vizuri huo usemi utanielewa hapa. Hii misemo yote kwa pamoja inabebana, siku zote unapotaka kwenda mbele usiogope mishale utakayokumbana nayo njiani, kikubwa kabiliana nayo angalia kule unakokwenda na ulipotoka hakika utafika Yerusalem.

This story is available exclusively to SCOOP members.
Become a #Scooper and start reading now.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags