Menina  Aweka wazi Mwanaume Anayemtaka

Menina Aweka wazi Mwanaume Anayemtaka

Ebwana eeh!! hii nayo kubwa kuliko hatimaye Msanii na mwigizaji Menina Alegria ameweka  bayana aina ya Wanaume ambao anawahitaji Kwenye Maisha Yake.

 Msanii huyo ameweka wazi kuwa hataki kabisa kudate na mwanaume suruali bali mwanaume ambaye ni mwenye mipango.

"Simpendi mwanaume ambaye ni mwanaume suruali napenda mwanaume ambaye ni mfanyakazi tunasaidiana kwenye kipato basi anaeta mzigo na mimi naleta mzigo,kusema mwanaume suruali ni yule ambaye ni tegemezi hataki kufanya kazi mtu kama wa hivyo mimi simtaki ila mtu hata kama hana pesa lakini mtu wa mipango sawa''






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags