Mkataba wa Maxi na Yao kuboreshwa

Mkataba wa Maxi na Yao kuboreshwa

Inadaiwa kuwa ‘klabu’ ya Yanga ipo kwenye maboresho ya  mikataba ya wachezaji wao kutoka Morocco #MaxiNzingeli na #KouassiYao , kutokana na uwezo wao mkubwa waliyo onesha uwanjani katika michezo yao ya hivi karibuni.

Mikataba hiyo imeongezewa vitu ambavyo havikuwepo mwanzo ikiwemo wachezaji hao kila mmoja kupatiwa gari la kisasa kwa ajili ya kutembelea.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags