Kwa mujibu wa Guinness World Records wameeleza kuwa mpiga picha Haining na mwanamitindo, muigizaji Mareesha Kulps kutoka Brantford Ciara Antoski, walipiga picha hizo September 19, katika eneo ambalo kulitokea ajali ya meli ya Niagara II ambapo walitumia dakika 16 kupiga picha na zaidi ya dakika 30 ndani ya maji.

Aidha mwaka 2021 wawili hao na watu wengine walifanikisha zoezi la kipiga picha katika urefu wa mita 6.4 (futi 21).
Leave a Reply