Mshambuliaji wa Arsenal aguswa na wahanga wa tetemeko

Mshambuliaji wa Arsenal aguswa na wahanga wa tetemeko

Mshambuliaji wa ‘klabu’ ya  #Arsenal na ‘timu’ ya taifa ya #England, #BukayoSaka, ametoa vyumba 50 vya ‘kontena’ kusaidia walioathiriwa na tetemeko la ardhi nchini Morocco, liliotokea Septemba mwaka huu na kusababisha watu zaidi ya 2800 kupoteza uhai na maelfu  kujeruhi.

Msaada huo aliotoa akishirikiana na shirika la kutoa misaada la ‘BigShoe’, ambao nao wametoa makazi kwa watu 255, wakiwemo watoto 89.
.
.
.
#MwnanchiScoop
#BurudikaNasi

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags