Mtayarishaji wa Sqyid game halipwi bonasi na Netflix

Mtayarishaji wa Sqyid game halipwi bonasi na Netflix

Inasemekana kuwa Mtaarishaji wa Tamthlia iliojibebea umaarufu duniani kote ya Sqyid Game, Hwang Dong-hyuk ambayo ipo Netflix hapokei Mirabaha yake licha ya Filamu hiyo kufanya vizuri na kuwa na mauzo zaidi ya Dola Bilioni 1.

Kwa mujibu wa gazeti la Los Angeles Times na Guardian, mtunzi wa tamthilia hiyo Hwang Dong-hyuk aliripotiwa kupoteza haki zote za uvumbuzi na hakupokea mirabaha kutoka Netflix.

“Mimi si tajiri kiasi hicho lakini ninayo ya kutosha nina chakula cha kutosha kuweka mezani na si kama Netflix inanilipa bonasi, Netflix ilinilipa kulingana na mkataba wa awali” alisema Hwang






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags