Tazama mtoto wa miaka 2 aitwaye #Devan akionesha ufundi wake kwenye somo la hisabati katika shindano ya kusaka vipaji la America's Got Talent linaloendelea nchini #Marekani.
Mtoto aliwashangaza wengi katika jukwaa hilo baada ya kufanikiwa kufanya hesabu zote
Kwa mujibu wa baba yake mzazi #Devan, #DuaneDefreitas amesema kuwa mtoto wake alikuwa akipenda hesabu tangu akiwa na umri wa miezi 4 huku neno lake la kwanza kutamka lilikiwa namba saba.
.
.
#mwananchiscoop
#burudikanasi

Leave a Reply