Muonekano  mpya wa Tory Lanez akiwa gerezani

Muonekano mpya wa Tory Lanez akiwa gerezani

Hatimaye ‘Rapa’ Tory Lanez week hii amefikishwa gerezani kwa ajili ya kutumikia kifungo cha miaka 10 kwa kosa la kumpiga risasi aliyekuwa mpenzi wake Megan Three Stallion.

Tory amepelekwa kwenye gereza la North Kern State lililopo California nchini Marekani.

Baada ya kuingizwa katika gereza hilo ‘rapa’ huyo alipigwa picha ambayo imesambaa  katika mitandao ya kijamii ikionesha muonekano wake mpya ambapo picha hiyo inafahamika kama Mugshot ambayo ni maalumu kwa ajili kutuza kumbumbu za polisi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikasNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags