Taarifa kutoka kisiwani Pemba ambapo Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe, Mkoa wa Kaskazini Pemba Habib Mohammed Ali, amefariki wakati akiendelea na Matibabu katika Hospitali ya SAIFEE Jijini Dar es Salaam.
Akithibitisha taarifa hizo Katibu wa Habari, Uenezi, Mawasiliano na Umma wa Chama cha ACT-Wazalendo, Salim Bimani, amesema taarifa za mazishi zitatolewa baada ya kushauriana na Familia
Inalilah waina ilaih rajioun jarida la Mwananchi scoop linatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki pamoja na wote waliofikwa na msiba huo.
Leave a Reply