Hatimaye bondia wa Tanzania, #HassanMwakinyo amefanikiwa kushinda mkanda wa ‘WBO’ Africa Middle Weight baada ya kumuangushia kipigo cha ‘KO’ ya raundi ya 7 bondia kutoka nchini #Ghana, #ElvishAhorgah kwenye pambano la Mtata Mtatuzi lililochezwa visiwani Zanzibar siku ya jana.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi

Leave a Reply