Nay wa Mitego atinga BASATA, Akabidhiwa muongozo

Nay wa Mitego atinga BASATA, Akabidhiwa muongozo

Baada ya wasanii mbalimbali kujitokeza Baraza la Sanaa Taifa, (BASATA) kufuata muongozo wa maadili katika kazi ya Sanaa msanii Nay wa Mitego amefika katika baraza hilo na kuchukua muongozo.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa BASATA wame-share picha ya msanii huyo akikabidhiwa muongozo huo na Naibu Waziri Wizara ya Sanaa, Mwana Fa leo Novemba 4 katika ofisi zilizopo uwanja wa Benjamin Mkapa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags